Okay – Finally Got Here – Psalm 116

Okay, here it is, finally! Psalm 116 in English (English Standard Version (ESV)) and Swahili. I apologize for the formatting errors, but I've never written html code before, and I've never written code when I wasn't under the influence of mind altering substances before. (It's been a while since I wrote code of any type.) So, I'll let you read the Psalm, and I catch ya on the other side. (Actually, I'm not going to mess with things right now, so I'll continue writing in the next post. I can't seem to make this do what I want yet, so I'll play with it another time.)
1 I love the LORD, because he has heard my voice and my pleas for mercy.
2 Because he inclined his ear to me, therefore I will call on him as long as I live.
3 The snares of death encompassed me; the pangs of Sheol laid hold on me; I suffered distress and anguish.
4 Then I called on the name of the LORD: “O LORD, I pray, deliver my soul!”
5 Gracious is the LORD, and righteous; our God is merciful.
6 The LORD preserves the simple; when I was brought low, he saved me.
7 Return, O my soul, to your rest; for the LORD has dealt bountifully with you.
8 For you have delivered my soul from death, my eyes from tears, my feet from stumbling;
9 I will walk before the LORD in the land of the living.
10 I believed, even when I spoke, “I am greatly afflicted”;
11 I said in my alarm, “All mankind are liars.”
12 What shall I render to the LORD for all his benefits to me?
13 I will lift up the cup of salvation and call on the name of the LORD,
14 I will pay my vows to the LORD in the presence of all his people.
15 Precious in the sight of the LORD is the death of his saints.
16 O LORD, I am your servant; I am your servant, the son of your maidservant. You have loosed my bonds.
17 I will offer to you the sacrifice of thanksgiving and call on the name of the LORD.
18 I will pay my vows to the LORD in the presence of all his people,
19 in the courts of the house of the LORD, in your midst, O Jerusalem. Praise the LORD!

1
Ninampenda BWANA kwa
maana amesikia sauti yangu,
amesikia kilio
changu ili anihurumie.
2
Kwa sababu amenitegea sikio lake,
nitamwita siku zote za maisha yangu.
3
Kamba za mauti zilinizunguka,
maumivu makuu ya kuzimu yalinipata,
nikalemewa na taabu na huzuni.
4
Ndipo nikaliitia jina la BWANA :
‘‘Ee BWANA, niokoe!’’
5
BWANA ni mwenye neema na haki,
Mungu wetu ni mwingi wa huruma.
6
BWANA huwalinda wanyenyekevu,
nilipokuwa katika shida kubwa, aliniokoa.
7
Ee nafsi yangu, tulia tena,
kwa kuwa BWANA amekuwa mwema
kwako.
8
Kwako wewe, Ee BWANA,
umeniokoa nafsi yangu na mauti,
macho yangu kutokana na machozi,
miguu yangu kutokana na kujikwaa,
9
ili niweze kutembea mbele ya BWANA,
katika nchi ya walio hai.
10
Niliamini, kwa hiyo nilisema,
‘‘Mimi nimeteseka sana.’’
11
Katika taabu yangu nilisema,
‘‘Wanadamu wote ni waongo.’’
12
Nimrudishie BWANA nini
kwa wema wake wote alionitendea?
13
Nitakiinua kikombe cha wokovu
na kulitangaza jina la BWANA .
14
Nitazitimiza nadhiri zangu kwa BWANA
mbele za watu wake wote.
15
Kifo cha watakatifu kina thamani
machoni pa BWANA .
16
Ee BWANA, hakika mimi ni mtumishi wako,
mimi ni mtumishi wako,
mwana wa mjakazi
a
wako,
umeniweka huru toka minyororo yangu.
17
Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru
na kuliita jina la BWANA .
18
Nitazitimiza nadhiri zangu kwa BWANA
mbele za watu wake wote,
19
katika nyua za nyumba ya BWANA,
katikati yako, Ee Yerusalemu.
Msifuni BWANA .

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s